6/recent/ticker-posts

SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUTOKA BELGIUM - KIFO CHA PROFESA WANGARI MATHAI


Wadau wa Oostende watowa salamu za rambi rambi kwa majirani zetu kenya kwa kifo cha Profesa Wangari Maathai ambae alitunukiwa tuzo ya amani ya nobel - Nobel Prize

Hatutozisahau harakati zake za ukombozi za haki za binaadamu hususan kwa wanawake, vile vile mwanamazingira mahiri na mwanasiasa shupavu.

Mola amemuita nae ameitika
Ameen

Post a Comment

0 Comments