Mimi naitwa Abubakar Diwani ni mfanyakazi katika Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA), ila sasa hivi niko nje kwa ajili ya masomo, nimeamuwa na mimi nishiriki katika kuchangia katika maendeleo ya nchi yetu katika nyanja hii ya habari.
Nimefunguwa blog yangu ambayo ina jina la:
Karibu sana ndugu yetu Abubakar katika uwanja wa kublog na hasa kulenga katika kuleta changamoto za maendeleo katika visiwa vyetu ukiwa na kauli mbiu TUNAWEZA INSHAALLAH.
Itembelee
0 Comments