Wananchi wakigombea daladala ya njia ya Mshelishelini, katika kituo kikuu cha Darajani jana, njia hiyo ina gari chache na kulazimiwa wananchi wa eneo hilo kuwa na usafiri wa shida na wa kugombea wakati wa asubuhi na kurudi kazini Mchana.(Picha na Ali Othman )
MBUNGE RWAKATARE AWATEMBELEA MABINTI 300 FDC IFAKARA, AWAPATIA MAHITAJI
MUHIMU
-
Mhe Mbunge wa Jimbo la Mlimba,Dkt KellenRose Rwakatare, ametembelea mabinti
300 wanaosoma katika Chuo cha Maendeleo FDC Ifakara na kuwapatia mahitaji
mbali...
1 hour ago

0 Comments