6/recent/ticker-posts

BARABARA YA AMANI - DUNGA YAKARIBIA KUMALIZIKA


WAFANYAKAZI wa Kampuni ya MECCO inayojenga barabara ya Amani Dunga, wakiweka lami katika barabara hiyo maeneo ya Amani Welezo ikiwa katika hatuwa za mwisho za ujenzi huo.

(Picha na Ali Athuman)

Post a Comment

0 Comments