MKURUGENZI wa Huduma za Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) Said Mohamed Said kushoto,akimkabidhi mfano wa hundi ya Shiligi Milioni Saba na Laki tano,Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyabiashara ya Utalii Zanzibar (ZATI) Ahmed Abdulswamad kwa ajili ya kudhamini mkutano mkuu wa chama hicho unaotarajiwa kufanyika wiki ijayo hapa Zanzibar.
NGORONGORO YATANGAZA VIVUTIO VYA UTALII KWA WASHIRIKI WA ROMBO MARATHON.
-
Na Mwandishi Wetu, Rombo.
Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) imeshiriki katika tamasha la _Rombo
_Marathon_ lililofanyika leo tarehe 23 Desemba 202...
1 hour ago
0 Comments