Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akiagana na viongozi mbali mbaili katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam baada ya kukamilika kwa sherehe za miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara..
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akifanya mazungumzo mafupi na waandindishi wa habari katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam baada ya kukamilika kwa sherehe za miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara.
(Picha na Salmin Said-OMKR)
0 Comments