Abdulham Gulam akipambana na Kagere Medie wa Rwanda kwenye mchezo wa Robo Fainali ya pili kwa siku ya leo ikiwa ni michuano ya kombe la TUSKER CECAFA CHALLENGE CUP 2011 inayofanyika kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam Tanzania. mpaka sasa mpira umekwisha ambapo Rwanda imeongeza goli la pili katika dakika ya 86 na kufanya matokeo ya mchezo huo kwa magoli 2-1. Matokeo haya yanaifanya Zanzibar Heroes kufungasha virago na Watanzania kubakiwa na timu moja tu ya Kilimanjaro Stars ambayo itashuka dimbani kesha kuikabili Malawi.
MNZAVA AWASIHI MADIWANI NA WENYEVITI WA VIJIJI KUSHIRIKIANA KUTATUA
MIGOGORO YA ARDHI
-
*Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini, Mhe. Timontheo Mnzava, amewataka
madiwani na wenyeviti wa vijiji kushirikiana kwa karibu katika kutatua
migogoro...
7 hours ago



0 Comments