Hawa wasyria nao wametuletea balaa tu..hapa! Sasa hivi majumbani hatuna raha,..imekua "utatupeleka lini wee.. na sisi tukaone" bidhaa zenyewe nyingi ni za mapambo na bei hazigusiki..sasa imekua 'kifo cha pesa' watu wanasahau mambo ya msingi kwa kununua mapambo kutokana na shinikizo la wake zao..kazi kweli.. kweli!
KIBAHA KUANZA KILIMO CHA MBOGAMBOGA NA MATUNDA
-
Na Khadija Kalili, Kibaha
WAZIRI wa Kilimo, Mhe. Daniel Chongolo, amesema Mkoa wa Pwani unatarajia
kuanza mradi wa kilimo cha mbogamboga na matunda katik...
-
*WAZIRI KOMBO AKUTANA NA BALOZI WA JAMHURI YA ZIMBABWE, HELEN BAWANGE
DINGANI*
*Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi
M...
1 Comments
Hawa wasyria nao wametuletea balaa tu..hapa!
ReplyDeleteSasa hivi majumbani hatuna raha,..imekua "utatupeleka lini wee.. na sisi tukaone" bidhaa zenyewe nyingi ni za mapambo na bei hazigusiki..sasa imekua 'kifo cha pesa' watu wanasahau mambo ya msingi kwa kununua mapambo kutokana na shinikizo la wake zao..kazi kweli.. kweli!