MGOMBEA Uwakilishi katika uchaguzi mdogo jimbo la Uzini kwa Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi,Muhamed Raza,akirejesha fomu ya kugombea uwakilishi katika jimbo hilo kwa msimamizi wa Uchaguzi wa Wilaya ya Kati Mussa Ali Juma, baada ya kukamilisha taratibu za kuijaza fomu hiyo,hafla hiyo ilifanyika ofisi za Tume ya Uchaguzi Koani.
WAZIRI MKUU AKAGUA UJENZI WA JENGO LA HUDUMA (WING B) HOSPITALI YA RUFAA YA
MKOA WA KATAVI
-
▪︎ Aagiza mradi ukamilike kwa wakati na ubora, asisitiza malipo kwa
wafanyakazi wa mradi yafanyike kwa wakati
▪︎Awapongeza watumishi wa afya kwa weledi
WA...
13 minutes ago
0 Comments