6/recent/ticker-posts

Balozi Seif Akabidhi Mchango Alioahidi kwa Zanzibar One Taarab

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akimkabidhi Mchango wa Shilingi Milioni Moja, Mkurugenzi wa Kikundi cha Zanzibar One Taarab Ustadhi Abdulla Ali
{ Du } kufuatia ahadi yake aliyoitowa 21/4/2012 wakati wa kilele cha Maadhimisho ya kutimia miaka mitano ya Kikundi hicho yaliofanyika katika Ukumbi wa Bwawani , makabidhiano hayo yamefanyika Ofisi ya Makamu Vuga,(Picha na Hassan Issa OMKR).

Post a Comment

0 Comments