Wananchi wakiangalia Samaki aina ya Papa aliyevulia katika bahari ya Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja, ambaye anakisiwa kuwa na kilo 150, akipasuliwa ili kuweza kuuziwa kwa Wananchi wanofika katika marikiti hiyo kupata kitoweo katika maakuli yao.Papa huyu anakaribia kufikia urefu wa futi tano na nusu.
MAAFISA USHIRIKA WATAKIWA KUWA VINARA WA MAFANIKIO NCHINI.
-
Maafisa Ushirika wa vyama vya ushirika nchini wametakiwa kutumia ipasavyo
elimu na maarifa waliyoyapata katika mafunzo maalum ili kuwa chachu ya
mafanikio,...
2 hours ago
0 Comments