Na Abdi Shamnah – WHUUM 29TH. Juni, 2012
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Waziri wa Habari, Utamaduni,Utalii na Michezo Zanzibar, Mh. Said Ali Mbarouk, amewateua wasanii 29 wa muziki wa taarabu, kuunda kikosi cha taifa cha Sanaa za Maonyesho.
Katika orodha huo kuna magwiji kadhaa wa kupiga vinanda na kuimba ambao walikuwemo katika kikosi kilichopita .
Aidha wasanii wanaounda kikosi hicho ni mchanganyiko kutoka vikundi mbali mbali vya muziki wa taarabu vilivyo mashuhuri hapa Zanzibar, hususan katika upigaji wa taarabu asilia.
Majina ya wasanii hao na vyombo/ala wanavyotumia katika mabano, ni kama ifuatavyo;-
1. Ramadhan Khamis Mussa – Violin
2. Makame Ali - Mpiga Chelo/muimbaji
3. Suleiman Habib – Mpiga Bongo
4. Fauzia Abdalla – Muimbaji
5. Said Mwinychande – Cordian
6. Makame Faki Makame – Chelo/Muimbaji
7. Kesi Juma Makame – Viollin
8.
Mtumwa Mbarouk – Muimbaji
9. Idd Suleiman Suweid – Muimbaji
10. Said Ali Kombo – Vayolin
11. Fatma Issa Juma – Muimbaji
12. Mohammed Ilyas Amirdin – Muimbaji/Mpiga Vayolin/Cordian/Key-board
13. Khamis Nyange Makame – Vayoplin/Muimbaji
14. Nassor Amour – mpiga Ganuni
15. Masoud Mfaume – Mpiga Cordian
16. Ali Hassan Ali – Mpiga Uddi
17. Taimour Roukny Taha – Mpiga Keyboard
18. Rajab Suleiman Rajab – Mpiga Ganuni
19. Ali said Wazera – Muimbaji
20. Daud Shadhil – Mpiga Base
21. ALI Masoud – Mtangazaji
22. Ali Ibrahim – Mpiga Keyboard/Cordian
23. Saleh yussuf saleh – Mpiga Kidumbaki
24. Chimbeni Kheir – Mtangazaji
25. Sihaba Juma – Muimbaji
26. Rukia Ramadhan Ali – Muimbaji
27. Sada Mohammed Bakar – Muimbaji
28. Hilda Mohammed Abdalla – Muimbaji
29. Asha Ali Abdalla - Muimbaji
Aidha Mh. Waziri amemteua Nd. Maulid Haji Mkadamu kuwa Mratibu wakikundi hicho.
Nakutumia kwa hatua zako za kufaa, tafadhali.
0 Comments