DKT. MSOWOYA AWATAKA WASOMI CHUO KIKUU CHA IRINGA KUJIEPUSHA NA NDOA ZA
REJAREJA
-
Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Iringa, Dkt. Tumaini Msowoya,
amewataka wanafunzi wa mwaka wa kwanza wa Chuo Kikuu cha Iringa kuwa makini
na mai...
2 hours ago
1 Comments
Asalama alaikum waisilam wote kwa ujumba huu ni mwezi mtukufu kwetu waisilamu kufanya mema pia kuzidi kukumbusha yale tunayoyasahau au tusiyo yajuwa hakuna binadamu aliye kamilika nikatika mwezi huu ndio iliposhushwa quran tukufu ndani ya Qurani hiyo kuna mengi sana tu leo hapa napenda tukumbushane kauli wapo ya Mmungu iliyokuwemo ndaniya Qurani Mmungu anatwambia Waiteni watoto wenu kwa majina ya Baba zao sasa unapo mwita huyu mke wa Rais kwa jina la mumewe (Mwanamwema Shein) tayari unakizana na kauli ya Mwenywezi Mungu,lakini nomba hapa ikumbukwe inategemea na imani ya dini ya mwitaji na aitwae Asalam alikum
ReplyDelete