6/recent/ticker-posts

Mfuko wa PPF Tanzniaq watowa Mkono wa Pole klwa Wafiwa Zanzibar

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar  Balozi Seif Ali Iddi akipokeaCheki ya Shilingi Milioni Tano  kutoka kwa Meneja Uhusiano wa Mfuko wa PPF  Tanzania  Lulu Mengele, kwa ajili ya Watu waliopata ajali ya kuzama kwa Meli ya Skagit, makabidhiano hayo yamefanyika katika Ofisi ya Makamu Baraza la Wawakilishi Chukwani

Post a Comment

0 Comments