Mwakilishi wa Jimbo la Rahaleo Nassor Salim Jazira akimkabidhi shilingi 2,500,000/= Kiongozi wa Timu ya Mkoa wa Mjini Magharibi inayoshiriki michuano ya Afrika Mashariki kwa timu za Vijana wa U-17, makabidhiano hayo yamefanyika katika moja ya Kumbi za Baraza la Wawakilishi Chukwani.
0 Comments