Mfanyabiashara ya mapambo ya Maua akitayarisha mapambo hayo katika viwanja vya bustani ya Mkunazini kwa ajili ya wateja wake ili kupamba katika kipindi cha Sikukuu ya Eid-Fitry inayotarajiwa kusherehekewa mwishoni mwa wiki hii.
KAMATI YA BUNGE YARIDHIA BAJETI OFISI WAZIRI MKUU KAZI, AJIRA NA MAHUSIANO
-
Na. OWM-KAM, Dodoma
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii imeridhia mpango
na makadirio ya mapato na matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu ...
15 minutes ago
2 Comments
ASSALAM ALAIKUM KAKA OTHMAN...NAONA KAMA KICHWA CHA HABARI HAKIJAKAA SAWA HEBU ANGALIA KWA MAKINI NAONA KAMA INATAKIWA ISOMEKE "MFANYABIASHARA WA MAPAMBO...." NA SIO "Mfanyabiashara ya mapambo ya Maua...."
ReplyDeleteShukran mdau tumerekebisha
ReplyDelete