Mfanyabiashara ya mapambo ya Maua akitayarisha mapambo hayo katika viwanja vya bustani ya Mkunazini kwa ajili ya wateja wake ili kupamba katika kipindi cha Sikukuu ya Eid-Fitry inayotarajiwa kusherehekewa mwishoni mwa wiki hii.
WANAFUNZI WA MADRASA ,WAALIMU KUTOKA KONDOA WATHIBITISHA KWA MUNGU HAKUNA
KUBWA NGORONGORO
-
Mwenyezi Mungu akitaka jambo litokee hutokea ndivyo ilivyotokea, uumbwaji
wa Kasoko ya Ngorongoro zaidi ya miaka milioni 2.5 iliyopita ambapo mlima
mref...
35 minutes ago
2 Comments
ASSALAM ALAIKUM KAKA OTHMAN...NAONA KAMA KICHWA CHA HABARI HAKIJAKAA SAWA HEBU ANGALIA KWA MAKINI NAONA KAMA INATAKIWA ISOMEKE "MFANYABIASHARA WA MAPAMBO...." NA SIO "Mfanyabiashara ya mapambo ya Maua...."
ReplyDeleteShukran mdau tumerekebisha
ReplyDelete