Mfanyabiashara ya mapambo ya Maua akitayarisha mapambo hayo katika viwanja vya bustani ya Mkunazini kwa ajili ya wateja wake ili kupamba katika kipindi cha Sikukuu ya Eid-Fitry inayotarajiwa kusherehekewa mwishoni mwa wiki hii.
MAKAMU WA PILI WA RAIS KUZINDUA MASHINDANO YA QUR’AAN
-
MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa Hemed Suleiman Abdulla,
anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa mashindano makubwa zaidi ya
Qur’...
1 hour ago
2 Comments
ASSALAM ALAIKUM KAKA OTHMAN...NAONA KAMA KICHWA CHA HABARI HAKIJAKAA SAWA HEBU ANGALIA KWA MAKINI NAONA KAMA INATAKIWA ISOMEKE "MFANYABIASHARA WA MAPAMBO...." NA SIO "Mfanyabiashara ya mapambo ya Maua...."
ReplyDeleteShukran mdau tumerekebisha
ReplyDelete