Waumini wa kiislamu Leicester wakisubiri sala ya Eid kusaliwa
Waumini wa kiislamu Leicester wakisubiri sala ya Eid kusaliwa
Sheikh Abdalla Sane akijiandaa kwenda kusalisha sala ya Eid iliofanyika katika ukumbi wa Taylor Road School
Kila mtu alikuwa makini katika hotuba hiyo
Inshaallah hawa ndio wanafunzi watakaonufaika na jengo hilo ambalo jumuiya ya An Noor inalipigania kulipata
Baadhi ya wajumbe wa An Noor Community Leicester baada ya kukamilisha shughuli yote ya suala zima la Eid
HWPL Yaandaa Kongamano la Kimataifa la Mtandaoni na Jumuiya ya Kiraia ya
Iraq
-
*Na Mashariki ya Kati Uzinduzi wa Kamati ya Utekelezaji wa Amani ya
Mashariki ya Kati Unaonyesha Awamu Mpya ya Ushirikiano wa Amani Unaoongozwa
na Ki...
22 minutes ago






1 Comments
Jee wanamama wenzetu huko hamuswali sala ya eid? mbona hatuwaoni?
ReplyDelete