NDEGE aina ya Flamingo wakiwa katikaeneo la bwawa la Hoteli ya Bwawani. Ndege hawa ambao ni adimu mno kuonekana wamefika
Zanzibar kwa mara ya kwanza na kucheza
kwa muda mrefu katika bwawa hilo, ambalo licha ya umuhimu wake limekuwa
likichafuliwa kwa kutupwa taka na kufukiwa, hali ambayo inahatarisha maisha ya
viumbe kama hawa.
0 Comments