Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dk Terezya Huvisa akizungumza na Waandishi wa Habari [Pichani hawapo] kuhusu Mkutano wa Mawaziri wa Mazingira wa Nchi za Afrika, Mkutano huu ni Kutathimini utekelezaji wa Makubaliano ya Mkutano wa 13 Uliofanyika Banako, Mali Mkutano Unafanyika Nchini Tanzania Mjini Arusha kulia Mkurugenzi wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Dk Julias Ningu[Picha na Ali Meja]
RAIS SAMIA AWAVUTA IKULU Dk. MPANGO NA KASSIM MAJALIWA WAWE WASHAURI WAKE
-
*Asema ndio sababu za kumteua Profesa Kabudi kuwa Ofisi ya Rais Ikulu
Na Said Mwishehe,Michuzi TV
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu H...
39 minutes ago
0 Comments