Wataalamu wa Mchezo wa Riadha Zanzibar wakiwa katika matayarisho ya kupata kipimo sahihi cha Marathon yanayotarajiwa kufanyika katika uwanja wa Amaan na kuelekea sehemu inayokusudiwa na kumalizia Amaan, wakiweka sawa vipimo vya kilomita zitakazotumika katika mashindano hayo hapa Zanzibar na kuwashirikisha wachezaji wa ndani na nje ya nchi.
JAB YAKEMEA UVUNJAJI WA SHERIA ZA AJIRA KATIKA SEKTA YA HABARI
-
*Na Mwandishi Wetu.*
*Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imewasisitiza waajiri kwenye
vyombo vya habari nchini kuzingatia kikamilifu masharti ya...
8 hours ago
0 Comments