Waziri wa Habari, Utalii utamaduni na michezo Mhe Said Ali Mbarouk akipiga picha pamoja na Makamishna wa kamisheni ya Utalii baada ya kufunguna mkutano wa kwanza wa Makamishna wa Utalii uliofanyika katika Hoteli ya Bwawani tarehe 30/12/12
KITUO CHA UMAHILI MLOGANZILA KUIMARISHA HUDUMA ZA MOYO, KINYWA NA MENO
-
Na Karama Kenyunko Michuzi Tv
UJENZI wa kitengo cha kutoa huduma za kinywa na meno katika Chuo Kikuu cha
Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) Kamp...
8 hours ago
0 Comments