Wafanyabiashara katika kituo cha Daladala darajani wamekuwa kero kwa abiria wanaotumia kituo hicho kutokana na kuvamia eneo kubwa la kituo hicho kwa kupanga bidhaa zao chini na kwenye meza.inakuwa shida kwa watumiaji hao na magari ya abiria yanayotumia kituo hicho kama inavyoonekana hali halisi ya kituo hicho katika picha. Taasisi husika inabidi kuchukuwa hatuwa ya kuondoa tatizo hili kwa wakati muafaka ili kutowa nafasi kwa abiria kuwa katika hali ya usalama zaidi na vurugu hizo.
Makubaliano Mapya Yafungua Mlango wa Tafiti na Ubunifu Tanzania
-
Na Mwandishi Wetu, Arusha.
Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela kwa
kushirikiana na Taasisi ya Global Education Link Ltd wamesaini ...
1 hour ago
0 Comments