WAFANYAKAZI wa Duka la Kabadilishia Fedha za Kigeni la
Bahari lilioko mtaa wa Mchangani ambalo limepata ajali ya moto iliosababishwa na hitilafu za umeme, uliotokea asubuhi na wananchi kufanikiwa kuuzima moto huo kwa nguvu za wanananchi na wafanyakazi wa duka hilo,Katika moto huo hakuna Mtu ambaye amejeruhiwa katika ajali hiyo na hakukuwa na uharibifu wa mali, wakifanya usafi ili kufanya marekebisho na kuendelea na kutowa huduma kwa wateja wake.
TANZANIA YATUMIA MICHUANO YA AFCON 2025 KUUZA MAZAO YA UTALII
-
Na mwandishi wetu, Morocco
NAIBU Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamad Hassan Chande (Mb), amesema
Tanzania inatumia fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (...
16 hours ago
0 Comments