6/recent/ticker-posts

Maalim Seif awasili Zanzibar akitokea India

Makamu wa kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamad akisalimiana na Mwakilishi wa mji mkonge Ismail Jussa baada ya kuwasili uwanja wa ndege a Zanzibar akitokea India alipokwenda kwa ajili ya ukaguzi wa afya yake,

Post a Comment

0 Comments