Muwezeshaji Neil Coul, akitowa Mafunzo ya Uwezo wa Kiusalana na Kiulinzi kwa Wadau wanaotowa huduma katika viwanja vya ndege vya Zanzibar, Mafunzo hayo yameandaliwa na Ubalozi wa Uingereza na Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Zanzibar.
DC Ilala Aagiza Polisi Kuwakamata Wauaji wa Salehe Iddi Salehe
-
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, ameliagiza Jeshi la Polisi Wilaya
ya Kipolisi Ilala, kupitia Kamanda wake ACP Yustino Mgonja, kuhakikisha
lina...
4 hours ago
0 Comments