Mabadiliko ya Tabianchi inasababisha uharibifu wa mazingira ya maeneo mbalimbali ya kukumbwa na Tabianchi kama sehemu hii ya Ufukwe wa bahari ya Nungwi ikiwa imeliwa na maji ya bahari na kusababisha eneo la ufukwe huo kuchukuliwa na maji ya bahari, kama inavyoonekana eneo hili lilikiwa tayari limekumbwa na hali hiyo.
MUNGU ANAVYOMPA KIBALI NAIBU SPIKA DANIEL SILLO KUONGOZA HARAMBEE KUCHANGIA
TAASISI ZA DINI
-
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Jimbo
la Babati Vijijini, Daniel Sillo, akizungumza wakati akiongoza harambee ya
kuc...
55 minutes ago
0 Comments