Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Fatma Abdulhabib Ferej, kushoto akikabidhiwa Vifaa kwa ajili ya Watu Wenye Ulemavu kutoka kwa Msimamizi wa jumuiya ya Wazanzibar wanaoishi Nchini Canada (ZANCANA) Bishara Al Masroori,makabidhiano hayo yamefanyika katika Ofisi ya Watu wenye Ulemavu Zanzibar, Vifaa visaidizi vya Watu wenye Ulemavu vilivyotolewa na Jumuiya ya Wazanzibari wanaoishi Canada {ZANCANA} Kupitia mwakilishi wao aliyepo Zanzibar Bwana Abdalla Issa.ni pamoja na {Wheel chair 6 , Hand stick 7, Crach 6, Baby walker 4, Toys na Pempas box 2 }
SERIKALI ITAENDELEA KUSHIRIKIANA NA VIONGOZI WA DINI-DKT. MWIGULU
-
-Asema lengo ni kujenga Taifa lenye hofu ya Mungu, upendo, haki na
uwajibikaji
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 18, 2026 ameshiriki Ibada...
8 hours ago
0 Comments