Sehemu iliokuwa umeharibika kutokana na mvua ilionyesha jana na kuleta uharibifu katika miundombinu ya barabara, katika mitaa ya mji mkongwe maeneo ya mkunazini ikiwa tayari imeshafanyiwa matengenezo na taasisi inayohisika ili kuweka sawa na kutowa huduma kwa watembea kwa miguu wanaotumia njia hiyo.
KITETO WAAHIDIWA KUPATIWA MWENYEKITI WA BARAZA LA ARDHI NA NYUMBA LA WILAYA
-
Na Munir Shemweta, KITETO
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt Leonard Akwilapo
ameahidi kupelewa kwa Mwenyekiti wa Baraza la Ardhi na...
9 hours ago
0 Comments