Wakati nikiwa katika pirika zangu za hapa na pale kutafuta matukio mitaani nimekutana na Vijana hawa wakiwa katika gari la Punda wakitokea katika maeneo ya Mwanakwerekwe Unguja wakati nikizidi kuzubaa kuangalia huku na kule , na kugunduwa kuwa walikuwa wakirudi mazikoni katika makaburi ya Mwanakwerekwe.
Walikwenda mazikoni kumzika kijana mwezao na kupigwa na butwaa huyu marehemu alikuwa katika ajira hii ya kuchukuwa mizigo kupitia gari ya punda au vipi bila kupata majibu ya suala hilo na kuzidi kuona magari ya punda zaidi ya manne yakitokea katika maeneo ya makaburini.
na kurudi mjini baada ya kumalizika maziko hayo na mimi bila ya kupata jibu kulikoni .Mwenyezimungu amlaze mahali pema peponi marehemu. Amin.
KITETO WAAHIDIWA KUPATIWA MWENYEKITI WA BARAZA LA ARDHI NA NYUMBA LA WILAYA
-
Na Munir Shemweta, KITETO
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt Leonard Akwilapo
ameahidi kupelewa kwa Mwenyekiti wa Baraza la Ardhi na...
3 hours ago
0 Comments