DKT. MSOWOYA AWATAKA WASOMI CHUO KIKUU CHA IRINGA KUJIEPUSHA NA NDOA ZA
REJAREJA
-
Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Iringa, Dkt. Tumaini Msowoya,
amewataka wanafunzi wa mwaka wa kwanza wa Chuo Kikuu cha Iringa kuwa makini
na mai...
2 hours ago
2 Comments
Bado suala la utaratibu mzuri wa usalama na afya za walaji linahitaji kuangaliwa vizuri, hivi haiwezekani kuwashughulikia samaki hawa katikamazingira bora zaidi??
ReplyDeleteAllah akbar Allah awanusuru watu na maradhi. Hapo wanapopasulia ni pachafu na njiani. Kwanini Baraza la Mji au Serikali haiweki sheria maalumu yakutunza mazingira ya Marikiti?
ReplyDeleteWatu wanalipa pesa zao za Taksi kila mwezi ili wapate Service nzuri kutoka kwenye Serikali za Mitaa na serikali Kuu. Lakini kwetu ss pesa za kodi ya watu hufanyiwa Mikutano ya chama Tawala CCM na nyengine Kunulia Viwanja Wakubwa na Magari 4 manne.
Wakati umefika wa Serikali za Mitaa kufanyiwa reorm hasa kwa vile Miji ya Zanzibar imezidi kukua na Watu kutoka Tanganyika wanaongezeka. Hivyo Kila Jimbo lingekua na Local Authority yake ambayo ingeweza kukusanya kodi na kuboresha iji na masoko yao.
Serikali kuu inatakiwa itoe Independet Auditor wakufuatilia matumizi ya fedha zao zinazokusanywa. Jimbo au local authority itakayofanya Vizuri ni lazima ipate Ruzuku nzuri kutoka Serikali kuu.Kuliachia Baraza la Mji na TRA kuendeelea kukusanya kodi za mapato nikulimbikiza wala Rushwa ktk Serikali.