Mradi wa kuweka mazingira ya Usafi katika mtaa wa Vikokotoni ili kuepuka na majanga ya miripuko ya maradhi hasa katika kipindi hichi cha mvua za masika zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali ya mji wa Zanzibar, mradi huu utanufaisha wananchi wa vikokotoni na watu wanaotumia mtaa huo kuweka taka katika toroli hili lilowekwa katika mitaa ya viko kwa kutunza mazingira ya usafi.
WANAFUNZI ITA WAADHIMISHA SIKU YA KIMATAIFA YA FORODHANI KWA MJADALA
KITAALUMA
-
Na Mwandishi Wetu
WANAFUNZI wa Chuo cha Kodi (ITA) wameadhimisha Siku ya Kimataifa ya Forodha
kwa mjadala wa kitaaluma kuhusu jukumu la utendaji wa Himaya ...
30 seconds ago
2 Comments
INAPENDEZA KAMA ULAYA LAKINI TAHADHARINI WASIJE KUYAIBA TU HAYO MATOROLI
ReplyDeleteSafi sana, lakini ili yadumu ni vyema yakavishwa mifuko ili umajimaji unaotokana na taka usiozeshe hayo matoroli nakusambaa kama tunavyoona katika majaa na ni rahisi hata kwa hao wanaochukua hizo taka kuzipeleka kunakohusika, wenzetu waloendelea ndivyo wanavyofanya hivyo. na watumiaji nao wawe na ustaarabu wa kutumia sehemu maalum za kutupia taka.
ReplyDelete