Meneja Masoko wa PBZ Seif Suleiman, kushoto akimkabidhi mwakilishi wa Msikiti wa Ijumaa Mzambarauni Fujoni Wilaya ya Kaskazini B. Salum Chum, mabati 100 kwa ajili ya matumizi ya msikiti huo, PBZ Islamic Benki hutsaidia na kutoa misada kwa jamii ikiwa ni moja ya kukuza uhusiano na wateja wake na kutowa moja ya faida inayopatikana katika kutowa huduma za wateja wake na faida hutumia kusaidia shughuli za jamii Zanzibar.
TANZANIA NA ALGERIA KUIMARISHA USHIRIKIANO WA OLIMPIKI
-
Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Algeria, Mhe. Iman
Njalikai, alikutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Chama cha Kamati za
Kitaifa za Oli...
4 hours ago
0 Comments