Tingatinga la Idara ya Ujenzi wa Barabara Zanzibar likiweka sawa kifusi katika sehemu ya pili ya barabara ya darajabovu ambayo ujenzi wake ukiendelea kumalizia barabara hiyo, ambayo baada ya kumalizika kwa ujenzi huo itakuwa na uwezo wa kupitisha magari manne kwa wakati mmoja, barabara hiyi ilikuwa imeweka lami upande mmoja na sasa inamaliziwa upande wa pili kwa kiasi kukubwa tayari imekamilika na ujenzi huo na sehemu iliobaki inamaliziwa kama inavyooneka tingatinga hili likiwa kazi.
UBORESHAJI WA HUDUMA ZA WATEJA: MBUNGE BAGAMOYO AKABIDHI MAGARI KWA TANESCO
-
Mbunge wa Jimbo la Bagamoyo, Mhe. Subira Mgalu leo Machi 03, 2026
amekabidhi magari mapya kwa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Wilaya ya
Bagamoyo mko...
1 hour ago
0 Comments