Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Said Ali Mbarouk, akikaguwa uwanja wa michezo Gombani , Pemba
Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Said Ali Mbarouk, akikaguwa baadhi ya magofu ya mkamandume pujini , alipkuwa na ziara ya kikazi ya wizara yake mpya ziara kama hizi kwa viongozi wakuu wa serikali katika taasisi wanazoziongoza zinachochoa uwajibikaji kwa watendaji.
Picha zote na Bakari Mussa, Pemba

0 Comments