Balozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu
Nchini Tanzania Abdulla Ibrahim AL-Suwaidi, wakatikati akiwa na mwenyeji wake
Waziri wa Afya kulia ni Katibu wa Waziri wa Afya Bi Zainab Khamis wakitembelea
maeneo mbalimbali ya Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar.
Wamachinga Dar wakemea uvunjifu wa amani
-
wadai suluhu ya changamoto haitatuliwi kwa uvunjifu wa amani.
Na Mwandishi Wetu
Umoja wa wa Wajasiriamali wa Mkoa wa Dar es Salaam umewataka Watanzania...
7 hours ago
0 Comments