Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimfariji Mjane wa Balozi Habib Suleiman, Bibi Moza Habib, wakati alipokwenda nyumbani kwa Marehemu Kilimani mjini Zanzibar kwa ajili ya kutoa mkono wa pole kwaWanafamilia wa marehemu na kuwapa mkono wa pole wafiwa, Kushoto ni Mama Zakia Bilal na kulia Mama Asha Bilal.
DKT NATU: TANZANIA NA UNICEF KUENDELEZA USHIRIKIANO
-
*Na. Joseph Mahumi, WF, Dodoma*
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-Maamry Mwamba, amekutana na
kufanya mazungumzo na Naibu Mwakilishi wa Shiri...
3 hours ago
0 Comments