KOcha Mkuu wa Simba akikinowa Kikosi chake katika Kisiwa cha Marashi ya Karafuu kwa ajili ya mechi yao na timu ya Yanga unaotarajiwa kufanyika jumamosi 18-5-2013 mjini Dar, Kikosi hicho kikiwa kimejichimbia Kisiwani huko na kufanya mazoezi yao katika Uwanja wa Mao Zenj.Kama anavyoonekana akitowa mafunzo kwa kikosi chake.
RC BABU AWATAKA WAGENI KUILINDA AMANI YA KILIMANJARO.
-
MKUU wa mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu amewataka wageni wote wanaowasili
mkoani humo kwa ajili ya sikukuu za Christmas na Mwaka mpya kuhakikisha
wanailin...
27 minutes ago
0 Comments