Meneja Masoko wa Benki ya Watu wa Zanzibar Seif Suleiman kulia akimkabidhi fulana Mrajisi wa Baraza la Wauguzi Zanzibar Haji Haji Khamis, kwa ajili ya kusherehekea Siku ya Wauguzi Duniani ambayo huadhimishwa kila mwaka Mei 12. Makabidhiano hayo yamefanyika katika Ofisi za PBZ Darajani akishuhudia makabidhiano hayo Msaidizi Muuguzi Wanu Bakari.
Dar City, Fox Divas watwaa ubingwa wa betPawa NBL 2025
-
Na Mwandishi wetu
Timu ya Dar City kwa upande wa wanaume na Fox Divas kwa upande wa wanawake
zimetwaa ubingwa wa mashindano ya klabu bingwa ya mpira wa k...
11 hours ago
0 Comments