6/recent/ticker-posts

Wadau wa Utaliii Arusha Watowa Msaada wa Dawa kwa Majeruhi wa Mripuko wa bomu.

Naibu waziri wa maliasili na utalii Lazaro Nyalandu akiwa kwenye picha ya pamoja na wadau wa utalii na Mkuu wa mkoa wa Arusha Magessa Mulongo na mbunge wa jimbo la Arusha mjini Godbless Lema wakitoa msaada wa madawa mbali mbali kwa Hospitali ya St Elizabeth mbele ya Dkt Thomas Kway mganga mkuu wa hospitali hiyo mwenye koti jeupe huku mwenye shati jekundu ni Mustapher mkurugenzi wa Bushbuck safaris
 
(Picha na Mahmoud Ahmad wa blog ya jamii Arusha)

Post a Comment

0 Comments