Usiombe kuharibikiwa na gari ikiwa na mzigo rumbesa, kama wanavyoonekana picha wadau hawa wa gari ya mizigo wakishusha mizigo katika gari hiyo baada ya kuleta matatizo ya kiufundi.
NHC YAUNGA MKONO MAENDELEO YA UNUNUZI NA UGAVI KUPITIA KONGAMANO LA KITAIFA
-
ARUSHA-Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) linashiriki katika Kongamano la 16
la Mwaka la Wataalam wa Ununuzi na Ugavi jijini Arusha.
Kongamano hilo ambal...
2 hours ago
0 Comments