Msimu wa Madoriani tayari umeaza na kuaza kuletwa Marikiti Darajani kwa wateja wa bidhaa hiyo doriani moja limefika kuuzwa kwa bei ya shilingi 4500/= hadi 6000/= Doriani ni tunda ambalo limetokea kupendwa na Wananchi wengi wa ndani ya Zenj na nje ya Zenj kutokana ladha yake kuwa nzuri lakini linachoma kutokana na miba yake.
Wananchi Wahimizwa Kujiunga na Hifadhi Skimu
-
Na: OWM (KAM) - Mwanza
Serikali imehimiza wananchi kujiunga katika na Hifadhi Skimu ili
kujihakikishia usalama wa maisha yao ya sasa na baadaye ikiwemo ku...
14 minutes ago
0 Comments