MJUMBE wa Tume ya
Mabadiliko ya Katiba, Bw. Humphery Polepole (kushoto) akitoa mada kuhusu Rasimu
ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano Tanzania iliyoandaliwa naTume hiyo kwa baadhi ya
wafanyakazi wa ofisi ya Ubalozi wa Uingereza nchini. Warsha hiyo ya siku moja ilifanyika
leo (Ijumaa Juni 21, 2013) katika Ofisi za Ubalozi huo jijini Dar es Salaam.
WAZIRI MASAUNI ACHAGULIWA MAKAMU WA RAIS BARAZA LA MAZINGIRA LA UMOJA WA
MATAIFA
-
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe.
Mhandisi Hamad Yussuf Masauni amechaguliwa kuwa Makamu wa Rais wa Baraza la
Mazingi...
5 minutes ago
0 Comments