Mshindi wa shilingi Milioni moja taslimu Khalfan Habib Haji kutoka Kidimni, Pemba akikabidhiwa zawadi yake
Mshindi wa Promosheni ya Zantel Yussuf Khamis Khalfan mkaazi wa Jangombe akipokea zawadi yake ya Vespa aliyokabidhiwa na Mkurugenzi Masoko wa Zantel Mohammed Mussa Baucha
Mshindi wa Promosheni ya Zantel Juma Ali Kitwana mkaazi wa Kikwajuni akipokea zawadi yake ya Huawei Media Pad aliyokabidhiwa na Mkurugenzi Masoko wa Zantel Mohammed Mussa Baucha
Mshindi wa Promosheni ya Zantel Nasra Issa Nassor mkaazi wa Gongoni akipokea zawadi yake ya Modem aliyokabidhiwa na Mkurugenzi Masoko wa Zantel Mohammed Mussa Baucha
Mshindi wa Promosheni ya Zantel Said Khamis Juma mkaazi wa Mombasa akipokea zawadi yake ya Modem aliyokabidhiwa na Mkurugenzi Masoko wa Zantel Mohammed Mussa Baucha
DKT. MUYUNGI ASISITIZA KASI UJENZI WA JENGO LA OMR, MTUMBA DODOMA
-
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Dkt. Richard Muyungi akipata maelezo
kuhusu hatua iliyofikiwa ya ujenzi wa mradi wa jengo la ofisi hiyo
unaoendelea ka...
1 hour ago

0 Comments