6/recent/ticker-posts

Waziri Mbarouk akutana na Mkurugenzi wa idara ya makumbusho, utamaduni na urithi wa Oman



 
WAZIRI wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo, Said Ali Mbarouk, (mwenye Suti) akisalimiana na Mkurugenzi wa Idara ya Makumbusho, Utamaduni na Urithi wa Oman, Hassan Mohammed Allawik, huko katika kiwanja cha michezo Gombani kisiwani Pemba
 
 
WAZIRI wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo, Said Ali Mbarouk, (mwenye Suti) akizungumza na Mkurugenzi wa Idara ya Makumbusho, Utamaduni na Urithi wa Oman, Hassan Mohammed Allawik, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa kiwanja cha michezo Gombani kisiwani Pemba,
 
(Picha na Abdi Suleiman, Pemba).
 
 

Post a Comment

0 Comments