6/recent/ticker-posts

Dkt Shein Aongoza Wananchi katika Mazishi ya Wanajeshi waliokufa Dafur katika kulinda Amani.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akitia saini buku la maombolezi ya Askari wa JWTZ waliofariki Nchini Sudan katika kijiji cha Dafur. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein. kulia Kadhi Mkuu wa Zanzibar Khamis Haji Khamis Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Seif Shariff Hamad, wakiungana na Wananchi wa Zanzibar katikamazishi ya Askari wa JWTZ,wakisoma hitma kaikamsikiti wa Kwamchina .










Post a Comment

1 Comments

  1. hakika kila mmoja atalipwa kwa alichokitanguliza , hawa watu walienda kufanya nini kwenye nchi ya kigeni kama si kujitafutia umauti wenyewe? kwa tamaa ya kulipwa fedha kwa dola , mbona uganda na kenya hawana tamaa , wala kujitia kimbelembele kwenye matatizo ya nchi za watu wamekaa kimya buheri , serikali inabidi kulaumiwa kwa kusababisha vifo hivi , mwanajeshi yoyote anayeuawa nje ya mipaka yetu ya tanzania basi ujue huyo hakuwa analinda nchi yetu, kaenda kutafuta uchokozi mwenyewe.

    ReplyDelete