6/recent/ticker-posts

Majeruhi wa Ajali ya Gali ya Jeshi Wakati ikienda mazikoni kwa Wanajeshi waliofariki Dafur..

 Madaktari katika hospitali ya Mnazi mmoja wakitowa huduma kwa Wananchi na Wanajeshi waliopata ajali wakati wakienda katika maziko ya Wanajeshi waliokufa Dafur. ajali hiyo imetokea katika maeneo ya Mwanakwerekwe sokoni.
 
 Dakari katika hospitali ya mnazi mmoja akitowa huduma ya kwanza kwa majeruhi wa ajali ya gari iliopinduka ikiwa katika msafara wa maziko ya Marehemu waliokufa Dafur, ajali hiyo imetokea baada ya kupinduka gari waliokuwa wamepanda wakienda makaburini kwerekwe. 
 Majeruhi wa ajili yagari ya jeshi wakiwa katika hospitali ya mnazi mmoja wakisubiri huduma ya kwanza baada ya kufikisha hospitali hapo. kwa matibabu. 

 Daktari katika hospitali ya mnazi mmoja akitowa huduma ya kwanza kwa majeruhi wa ajali waliofikishwa hospitalini hapo kwa matibabu. 


Makaktari katika ya Hospitali ya mnazi mmoja wakiandaa vifaa kwa ajili ya kutowa huduma ya kwanza katika hospitali kuu ya mnazo mmoja kwa matibabu, ajali hiyo imetokea maeneo ya mwankwerekwe sokoni. 

Post a Comment

1 Comments

  1. kwa kawaida wanajeshi wakiendesha vyombo huona kama vile sifa na ubabe barabarani hutaka kila mwenye chombo akae pembeni wakipita wao , na ukithubutu kufanya chochote watakugonga hata kama uko sehemu yako ya barabara, kwa hio hii ni laana ya Mungu kwa wananchi waliodhulumiwa na magari ya kijeshi yanapokuwa barabarani

    ReplyDelete