Airtel Tanzania yazindua Maduka 17 ya Smart Shops Dar es Salaam, kukuza
Huduma za Kidijitali
-
Airtel Tanzania, kampuni inayoongoza huduma za mawasiliano nchini,
imezindua maduka mapya 17 ya Airtel Smart Shops jijini Dar es Salaam.
Maduka haya ni ...
14 minutes ago
1 Comments
hivi JK kwani lazima upeleke majeshi yetu nchi za kigeni? huachi kimbelembele bado haya yaliyotukuta hayajatosha , basi kama bado naomba uwapeleke ndugu zako kwanza kuwa mstari wa mbele kwenye kulinda amani, tangu lini amani ikalindwa na wageni , sisi kule sudani ni wageni tu hata ufanye vipi
ReplyDelete