Mtaalamu kutoka kikosi cha Zimamoto na Uokozi Pemba, Mohammed Fadhili, akizima moto, baada ya kuwapatia taaluma, wafanyakazi wa shirika la Umeme ZECO Tawi la Pemba, Jinsi gani mitungi ya gesi ya huduma ya kwanza, yanavyo anya kazi pale panapotokea tatizo la kuungua moto. (Picha na Abdi Suleiman, Pemba.)
WALIMU SIMANJIRO WAJENGEWA UWEZO SIS
-
Na Mwandishi wetu, Simanjiro
WAKUU wa shule za sekondari na msingi wilayani Simanjiro mkoani Manyara,
wamejengewa uwezo wa kuandaa taarifa za shule kutoka...
3 hours ago
1 Comments
Mabaduliko yoyote ya katiba Z'bar lazma yaweke wazi majukumu ya wakuu wa mikoa na wilaya.
ReplyDeleteUmri na viwango vyao vya elimu ni muhimu katika kujenga imani kwa wananchi juu ya uwezo wao kiutendaji.